Description
Is especially developed with naturally honey and herbal extracts that will revitalise and rejuvenate your skin leaving your body looking and feeling fantastic.
DIRECTION
Turmeric, ginger & honey momo salt is just like regular soap and rinse of with water. Use it three times a week and your body will look fantastic.
Hii srub ya kuogea ni bidhaa pendwa sana miongoni mwa product zetu imekuwa ikiwasaidia watu wengi sana, ina mchanganyiko wa chumvi ya bahari, manjano, pamoja na asali, hii srub unaogea na inatoa povu vizuri nakuifanya ngozi yaku kuwa yenye mng’ao na ya kuteleza. Inatumika mwilini tu (isitumike usoni)
Bath scrub hii inasaidia
– Inaondoa dead skin mwilini
– Inaacha ngozi yako ikiwa laini na yenye kuteleza
– Inaondoa weusi katikati ya mapaja
– Inaondoa weusi chini ya makalio
– Inaondoa mabonde mwilini (cellulite)
– Inakupa rangi moja mwili mzima
BEI 30,000/=
Reviews
There are no reviews yet.